Maofisa Habari kutoka NSSF wakipandisha taarifa katika Tovuti Kuu ya Serikali Maofisa Habari wa Serikali wakipandisha taarifa katika Tovuti Kuu ya Serikali wakati wa mafunzo ya upandishaji taarifa hizo yaliyofanyika Mjini Bagamoyo 26-30 Machi, 2014 Tovuti Kuu ya Serikali kupitia sehemu ya Nifanyeje  inakupa hatua mbalimbali za kufuata ili kupata huduma zinazotolewa na Taasisi za Serikali (www.tanzania.go.tz) Pata gazeti la Serikali katika Tovuti Kuu ya Serikali (www.tanzania.go.tz) Wakala ya Serikali Mtandao ni msajili rasmi wa majina yote ya mitandao ya Taasisi za Serikali (.go.tz na .mil.tz) Sehemu kuu sita katika Tovuti Kuu ya Serikali (www.tanzania.go.tz) Mwonekano wa mbele wa Tovuti Kuu ya Serikali (www.tanzania.go.tz) Nyaraka mbalimbali za Serikali zinazopatikana katika Tovuti Kuu ya Serikali (www.tanzania.go.tz) eGA inawianisha rasilimali za pamoja za Serikali mtandao zilizopo. eGA inawezesha mifumo ya Taasisi za Serikali kuwasiliana na kubadilishana taarifa kwa kutumia raslimali za pamoja za TEHAMA eGA inaboresha upatikanaji na utoaji huduma bora kwa Serikali, wafanyakazi, wafanyabiashara na wananchi kwa kutumia TEHAMA. Tovuti Kuu ya Serikali ni dirisha moja la huduma za umma mbalimbali zinazotolewa na Serikali kwa njia ya mtandao.
Mtendaji Mkuu

Kwa niaba ya watumishi wa Wakala ya Serikali Mtandao Tanzania, ninayo furaha kukukaribisha katika tovuti hii ambako  tunatumaini utapata taarifa za kuaminika unazozihitaji kwa ukamilifu kuhusu wigo, upeo wa mamlaka, dira, dhamira,

Dhamira yetu

Dhamira ya Wakala ya Serikali Mtandao ni kujenga mazingira bora kwa ajili ya uratibu,usimamiaji na uendelezaji wa matumizi ya TEHAMA kwa ajili ya kuboresha utoaji wa huduma za Serikali kwa Umma. 

Dira yetu

Kuwa Taasisi yenye ubunifu na yenye kuwezesha matumizi ya TEHAMA kwa ajili ya kuboresha utoaji wa huduma kwa umma.

Kaulimbiu :

Uwezeshaji wananchi kwa kutumia TEHAMA

Dhana ya Serikali Mtandao

Serikali Mtandao ni matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kwa lengo la kuboresha utoaji wa huduma kwa umma, kuhamasisha ushirikishwaji wa raia katika utoaji wa maamuzi yanayowahusu na kuwezesha uwepo wa  serikali iliyo wazi, inayowajibika na makini katika kutelekeleza majukumu yake kwa taifa. 

 

Soma zaidi

Utafiti wa Serikali Mtandao

Tangu tarehe 1 Aprili, 2011, Wakala ya Serikali Mtandao ilianza kutekeleza mamlaka yake na hivyo kuhitaji kuelewa hali hiyo kuhusu juhudi za serikali mtandao ndani ya Utumishi wa Umma. Kuanzia Julai, 2012, Wakala ya Serikali Mtandao inataka kufanya utafiti kwenye Wizara, Idara, Wakala (MDA) na Mamlaka ya Serikali za Mitaa (LGAs) zilizopo Dar es Salaam ili kujua juhudi zilizopo za Serikali mtandao katika kutoa huduma kwa Umma.

Soma zaidi

Matangazo

Tembelea Tovuti Kuu ya Serikali www.tanzania.go.tz,  ambayo  inakuwezesha kupata taarifa na huduma mbalimbali zinazotolewa na Serikali katika dirisha moja,  kwa uwazi, haraka, urahisi na gharama nafuu kwa manufaa ya wananchi, wafanyabiashara,  watumishi na wadau wengine. Toa maoni yako ili kuboresha Tovuti  Kuu  kupitia Barua pepetzportal@ega.go.tz  

Tembelea: www.tanzania.go.tz  

 

Soma zaidi

Habari Mpya

Tarehe : 2014-02-04

Waziri Mkuu atembelea Wakala ya Serikali Mtandao

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda akisikiliza maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Ms...

Zaidi

Tarehe : 2014-02-04

Uzinduzi wa Tovuti Kuu ya Serikali

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda amezindua rasmi Tovuti Kuu ya Serikali ambayo itamsai...

Zaidi

Video