Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora

Wakala ya Serikali Mtandao.

Wajumbe wa Bodi ya Ushauri

Wajumbe wa Bodi ya Ushauri

Prof. Joseph Semboja

M/Kiti, 

(Mtendaji Mkuu Uongozi Institute)

Dr. Jabiri Kuwe Bakari

 Katibu,

(Mtendaji Mkuu, Wakala ya Serikali Mtandao)

Eng. Peter Ulanga

Mjumbe

(Mtendaji Mkuu, Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote)

Mr. Mohammed Pawaga

Mjumbe
(Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu, Tume ya Mapitio ya Katiba.)

ACP Albert Nyamuhanga

Mjumbe
(Mkuu wa Kitengo cha Sera, Mipango na Bajeti, Jeshi la Polisi la Tanzania )

Prof. Evelyne Isaac Mbede

Mjumbe
(Mkurugenzi wa Sayansi na Teknolojia, Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia)

Mr. Priscus Kiwango

Mjumbe,

Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma.