Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora

Wakala ya Serikali Mtandao.

Usajili wa Anwani za Tovuti za Serikali

Usajili wa Anwani za Tovuti za Serikali

2017-06-30

eGA inashauri taasisi zote za Umma kusajili majina ya anuani ya tovuti zao kwa “.go.tz” ikiwa ni pamoja na zinazotumia “.com au .org"