Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora

Wakala ya Serikali Mtandao.

Tarehe na Ukumbi

Tarehe na Ukumbi

Lengo la Mkutano

Lengo la mkutano huu wa pili wa mwaka ni kujenga uwezo, kuongeza ushirikiano na kuleta uelewa wa pamoja unaoziwezesha taasisi za umma kutoa huduma kwa njia ya TEHAMA,. Aidha, kuzisaidia taasisi za umma kutoa huduma mtandao kwa kujali maslahi ya umma, kubadilishana uzoefu na kuendeleza uhusiano katika utendaji kazi na wadau wa Serikali Mtandao.

Tarehe na Ukumbi

Mkutano wa Pili Serikali Mtandao utafanyika kwa siku 4 mfululizo kuanzia tarehe 30 Januari hadi tarehe 2 Februari, 2019 katika Ukumbi wa Chuo cha Sayansi ya Kompyuta, Habari na Mawasiliano - Chuo Kikuu cha Dodoma.