Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora

Wakala ya Serikali Mtandao.

Ada ya Ushiriki

Ada ya Ushiriki

Kila Mshiriki anatakiwa kulipa ada ya ushiriki ya kiasi cha Shilingi 400,000 kwa kundi la Wakurugenzi wa TEHAMA, Wakuu wa Idara/ Vitengo vya TEHAMA Serikalini, Maofisa Waandamizi wa TEHAMA, Maofisa TEHAMA na Watumiaji wa Mifumo. Aidha, ada ya shilingi 200,000 ni kwa kundi la Makatibu Wakuu na Wakuu wa Taasisi za umma tu. Vilevile, ada ya ushiriki kwa wanafunzi watakaoshiriki katika siku ya utafiti na ubunifu ni Shilingi 20,000 tu. 

Taratibu wa Malipo

•Lipa kwa T-pesa, M-pesa, Airtel-Money, Tigopesa, Z-pesa na Halopesa.

 

•Benki ya NMB ikiwa ni pamoja na kuwezesha kufanya uhamisho wa fedha kutoka benki nyingine yoyote.

 

Unaweza kulipa kwa kuhamisha fedha moja kwa moja kutoka katika Benki yoyote kwenda kwenye Akaunti yetu iliyoko Benki ya NMB kwa njia ya TISS / SWIFT jaza

 

     1.  Namba ya Akaunti  kwenye Field 59

      2. Kumbukumbu ya Malipo (Payment control number) kwenye  Field 70

 

Lipa Kupitia Mitandao ya Simu:
           TTCL  T-pesa

           Piga *150*71#

 

          Chagua 5 – Lipa Bill.

 

         Chagua 3 – Malipo ya Serikali.

 

         Weka namba ya kumbukumbu (Control number).

 

          Weka namba yako ya siri.

 

         Thibitisha malipo.

 

 

           Vodacom M-pesa

 

           Piga *150*00#

 

          Chagua 4 – Lipa kwa M-pesa.

 

         Chagua 5 – Malipo ya Serikali.

 

         Chagua 1 – Namba ya malipo.

 

          Weka namba ya malipo (Control number).

 

         Weka namba yako ya siri.

 

        Thibitisha malipo.

 

 

           Tigo-pesa

           Piga *150*01#

 

          Chagua 4 – Lipia Bili.

 

         Chagua 5 – Malipo ya Serikali

 

         Ingiza namba ya malipo (Control number).

 

          Ingiza kiasi.

 

         Ingiza namba ya siri kuhakiki.

 

           Airtel Money

           Piga *150*60#

 

          Chagua 5 – Lipia Bili.

 

         Chagua 5 – Malipo ya Serikali.

 

         Chagua 1 - Weka namba ya Kambukumbu.

 

          Ingiza Kumbukumbu ya malipo (Control number).

 

         Kiasi.

 

        Ingiza namba ya siri kuhakiki.

 

           Halopesa

           Piga *150*00#

 

          Chagua 4 – Lipa kwa Halopesa.

 

         Chagua 7 – Huduma za Serikali.

 

         Ingiza kumbukumbu namba (Control number).

 

          Weka namba yako ya siri.

 

         Thibitisha malipo