emblem

Blogu ya Mamlaka ya Serikali Mtandao

Uadilifu na Ubunifu kwa Utoaji Huduma Bora kwa Umma

Kamati za Utekelezaji wa Serikali Mtandao na kazi zake

06th May 2020

Kamati za Utekelezaji wa Serikali Mtandao zimeanzishwa ili kuisaidia Mamlaka katika utekelezaji wa Sheria ya Seikali Mtandao ili kuwa na matumizi ya TEHAMA yenye tija.