Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora

Wakala ya Serikali Mtandao.

Malalamiko

Malalamiko

Kitendo cha mteja/ kikundi /taasisi kuonyesha hali ya kutoridhishwa na huduma inayotolewa na taasisi, hivyo kuamua kutoa taarifa ya kutoridhika kwa matarajio kwamba marekebisho yatafanyika.

  • Malalamiko yatapokelewa na kushughulikiwa na kuhifadhiwa kwa usiri unaostahili.
  • Mteja atapata majibu ya lalamiko lake kama ilivyoelezwa katika mkataba wa huduma  kwa mteja wa wakala.
Ndio Hapana


captcha image