Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora

Wakala ya Serikali Mtandao.

Mifumo ni lazima Izungumze Ili Kuongeza Ufanisi na Kupunguza Gharama za Utendaji

Mifumo ni lazima Izungumze Ili Kuongeza Ufanisi na Kupunguza Gharama za Utendaji

2019-02-22

"Kama mifumo haitozungumza, hakuna Serikali Mtandao. Lazima mifumo ifanye kazi sawasawa na lazima izungumze ili iwe inasababisha kuongeza ufanisi, kupunguza gharama za utendaji ndani ya taasisi na kuhakikisha kuwa huduma inapotoka kwenda kwa mwananchi kupitia TEHAMA inakuwa ni ya haraka", Dkt. Jabiri Kuwe Bakari akizungumza wakati wa Kikao Kazi cha Pili cha Serikali Mtandao 2019

Kwa taarifa zaidi, bofa hapa