Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora

Wakala ya Serikali Mtandao.

Huduma kwa Simu

Huduma kwa Simu

Utoaji huduma kwa simu za mkononi hutumika kama njia ya haraka ya kufikia malengo ya Serikali Mtandao hasa kutokana na kwamba wananchi wengi wanatumia simu za mkononi kuliko tovuti na hivyo kutatua tatizo la kuwafikia wananchi wanaoishi maeneo ya vijijini.

Masharti: 
  • Lazima uwe na maelezo ya tatizo
  • Andika barua ya maombi kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Serikali Mtandao
  • Hudhuria mkutano wa kukusanya mahitaji kwenye ofisi za eGA
  • Toa maoni na kukubali huduma hiyo iliyojaribiwa na kuoneshwa kwako
  • Lipa ada inayostahili kama ilivyoainishwa kupitia Akaunti ya Mapato ya Wakala (e-Government Agency Revenue A/C) Na. 20110002340, NMB Bank.
  • Utakabidhiwa rasmi Mfumo wa Huduma kwa Simu za Mkononi 
 Zingatia: 

Utengenezaji wa mfumo wa huduma kwa simu za mkononi unategemea ukubwa wa tatizo lililowasilishwa.

Kwa taarifa zaidi bofya hapa