Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora

Wakala ya Serikali Mtandao.

Ikisiri ya Mpango Mkakati

Ikisiri ya Mpango Mkakati

Mpango mkakati huu ni matokeo ya juhudi za pamoja kama Wakala  pamoja na ushauri wa kitaalamu kutoka kwa wadau katika kushughulikia mahitaji na matarajio ya wananchi wa Tanzania na pia kuhakikisha kuwa matokeo ya juhudi hizo yanaakisi matakwa ya kitaasisi na taifa kwa jumla. Mpango Mkakati huu unatoa mwelekeo wa kimkakati utakaoiwezesha Wakala kuwa yenye ufanisi zaidi ili kutimiza dhamira ya Wakala.

Pakua Ikisiri ya Mpango Mkakati