Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora

Wakala ya Serikali Mtandao.

Uthibitishaji wa Miradi ya TEHAMA

Uthibitishaji wa Miradi ya TEHAMA

Wakala inaratibu, kuendesha na kuhakikisha ufuataji wa  viwango na taratibu za serikali mtandao  kwa kuimarisha ufuatiliaji na tathmini  ya jitihada za serikali mtandao.

Wakala hutathmini Miradi ya  na uwekezaji katika taasisi ya umma kwa kutumia vigezo 11:

 • Ubunifu wa Mradi
 • Uboreshaji wa Utendaji Kazi
 • Umiliki wa Mradi
 • Ushirikishwaji Wadau
 • Uhusiano na Miradi mingine Inayofanana
 • Teknolojia
 • Muda Unaofaa
 • Uendelevu wa Mradi
 • Gharama za Mradi
 • Udhibiti wa Vihatarishi
 • Mengine Mbadala  au Yakuzingatiwa