Kuhifadhi Mifumo

Kuhifadhi Mifumo

Serikali Mtandao inaimarisha mazingira ya kuhifadhi mifumo na data ili kuwezesha matumizi ya pamoja ya TEHAMA na rasilimali nyingine miongoni mwa taasisi.Kuna njia mbili za kuhifadhi mifumo: Kwanza ni mahali mbadala ambapo kunafursa ya kuhifadhi mifumo tumizi pamoja na miundombinu ya kuendeshea. Njia ya pili, taasisi za umma zinaweza kuchagua kuhifadhi mifumo tumizi tu wakati miundombinu ya kuhifadhia inat...

Manufaa

Gharama nafuu

Inalinda na kuhifadhi taarifa na data

Inawezesha mifumo tumizi ya Serikali mtandao kuwasiliana

Tazama Video

Wasiliana Nasi

  • Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,
  • Mamlaka Ya Serikali Mtandao
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao 8 Barabara ya Kivukoni, Jengo la Utumishi
  • S.L.P 4273, Dar es Salaam
  • +255222129868
  • info@ega.go.tz