Huduma na Mifumo ya Mamlaka imepanwa katika makundi yafuatayo;
- Huduma za Ushauri wa Kitaalamu na Msaada wa Kiufundi
- Mifumo Shirikishi ya TEHAMA
- Huduma ya Kuhifadhi Mifumo (Miundombinu kama Huduma , Mfumo kama Huduma)
- Utengenezaji Mfumo
- Mtandao wa Mawasiliano Serikalini (GOVNET)
- Huduma za Serikali kupitia Simu za Mkononi
- Utafiti na Mafunzo
- Bango la Matangazo