Kwa furaha, ninakukaribisha kwenye tovuti ya Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA). Kama Mwenyekiti wa Bodi hii, natambua juhudi, ari, na nguvu kazi inayochochewa katika kufikia malengo.
Kwa muda mfupi, Mamlaka imekuwa ni Taasisi yenye mafanikio makubwa nchini katika kusimamia na kuratibu matumizi ya TEHAMA. Mafanikio haya yanatokana na Jitihada za kipekee kutoka kwa watumishi wa Mamlaka na wadau mbalimbali wa Serikali Mtandao.
Mamlaka imedhamiria kuweka mazingira wezeshi kwa taasisi za umma katika kutekeleza Jitihada za Serikali Mtandao na kukuza matumizi ya TEHAMA ili kuboresha utoaji wa huduma kwa umma.
Mamlaka itaendelea kuzingatia uwajibikaji katika utoaji wa huduma ili kutambuliwa kama taasisi inayoongoza kwa ubunifu katika kuwezesha matumizi ya TEHAMA kwa ajili ya kuboresha utoaji wa huduma kwa umma.
Kwa niaba ya Serikali, ningependa kuwashukuru tena kwa kutembelea tovuti hii, na tunawakaribisha kuendelea kuvinjari katika Tovuti ilikuweza kufahamu kazi na majukumu ya Mamlaka, misingi mikuu na utoaji wa huduma bora na salama za Serikali Mtandao.

.....
.....
.....
.....
.....
.....
.....
.....