Maelezo
Mkurugenzi wa Udhibiti na Usalama wa TEHAMA Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) Bw. Sylvan Shayo, akitoa Mada kuhusu matumizi ya Ofisi Mtandao ndani ya sekta za Umma, katika kikao cha 13 cha Wataalam wa Kumbukumbu na Nyaraka, kilichoandaliwa na Chama cha Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka Tanzania (TRAMPA).