Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani Dkt.Maduhu Kazi atembelea banda la e-GA katika siku ya pili ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma
Maelezo
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani Dkt.Maduhu Kazi atembelea banda la e-GA katika siku ya pili ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma.
Imechapishwa Tarehe: Jun 18, 2025