Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA), wafanya ukaguzi wa ujenzi wa Makao Makuu ya Ofisi za e-GA eneo la Mtumba jijini Dodoma.
Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA), imefanya kikao cha 4 ili kujadili utendaji kazi wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) kwa kipindi cha mwezi April - Juni, 2023.
Maafisa TEHAMA kutoka katika taasisi mbalimbali za umma wameshiriki katika kikao kazi cha kuandaa na kuhuisha Viwango na Miongozo ya Serikali Mtandao, ili kuhakikisha inaendana na Sheria ya S
Mkurugenzi Mkuu Wa Mamlaka Ya Serikali Mtandao (e-GA) Mha. Benedict Ndomba, Akieleza Kuhusu Utekelezaji Wa Majukumu Ya Mamlaka Kwa Kipindi Cha Mwezi Machi Hadi Juni 2023