WAZIRI MKUU AKABIDHI e-GA CHETI CHA SHUKRANI UDHAMINI WIKI YA ELIMU,UJUZI NA UBUNIFU 2024

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa, akimkabidhi cheti cha shukrani ya udhamini Afisa Habari wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) Bi.Queenter Mawinda, wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Kitaifa ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu yaliyofikia tamati hii leo jijini Tanga.
e-GA ni miongoni mwa wadhamini wa maadhimisho hayo kwa mwaka 2024 yaliyoandaliwa na Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia.