MFUMO WA TSMS TOLEO LA PILI WABORESHWA KUIMARISHA USIMAMIZI NA UENDESHAJI WA MAFUNZO NA WARSHA

Sasa ni Jumuishiuratibu wa makongamano na Semina ni rahisi zaidiMfumo wa Uratibu, Usimamizi na Uendeshaji wa Mafunzo na Semina (Training and Seminar Management System - TSMS), toleo la pili ‘version 2’, umeboreshwa zaidi ili kuongeza ufanisi wa uendeshaji, usimamizi na uratibu wa mafunzo na semina, katika taasisi za umma. Mfumo huu kwa sasa umeongezewa moduli sita kutoka moduli nane za awali na kufanya jumla ya moduli 14, zinazomuwezesha mtumiaji...