Wadau Wapitia Miongozo ya Serikali Mtandao

Wadau wa Serikali Mtandao kutoka taasisi mbalimbali za umma wamekutana jijini ili kupitia na kujadili maboresho ya Viwango na Miongozo ya Serikali Mtandao, hatua inayolenga kuongeza tija, usalama na ufanisi katika utekelezaji wa jitihada za Serikali Mtandao nchini. Wadau hao wamekutana katika kikao kazi kilichoandaliwa na Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) ili kufanya mapitio ya pamoja, kutoa maoni kuhusu miongozo ya Serikali Mtandao, na kufan...







