e-Mrejesho V2 KINARA WA TUZO YA WSIS 2025

Tanzania kupitia Mfumo wa e-Mrejesho toleo la pili (e-MrejeshoV2) imeibuka mshindi katika kipengele cha Serikali Mtandao, kwenyeTuzo za Mkutano wa Dunia wa Jumuiya ya TEHAMA mwaka 2025 (World Summit on the Information Society -WSIS 2025 grand winner). Tuzo hizo ambazo huratibiwa na Shirika la Mawasiliano la Umoja wa Mataifa (International Telecommunications Union – ITU) zinalenga kutambua na kuchochea miradi bunifu, inayotumia TEHAMA kat...