SERIKALI YAJIPANGA KUPUNGUZA PENGO LA KIDIJITI NCHINI

Serikali imesema kuwa, itaendelea kupunguza pengo la kidijiti lililopo kati ya mijini na vijijini ili kuhakikisha mapinduzi ya kidijitali yanaleta maendeleo chanya na usawa katika maeneo yote sambamba na kuboresha hali ya kiuchumi kwa wananchi.Kauli hiyo imetolewa na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. Xavier Daudi, wakati akifungua warsha ya mafunzo na mashauriano ya siku mbili kuhusu usimamizi wa huduma za umma n...