Matumizi ya Mfumo wa ERMS-Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania

ERMS ni Mfumo Shirikishi wa Kusimamia Shughuli na Rasilimali za Taasisi. Tazama jinsi Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) inavyotumia ERMS katika utendaji kazi wa kila siku

ERMS ni Mfumo Shirikishi wa Kusimamia Shughuli na Rasilimali za Taasisi. Tazama jinsi Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) inavyotumia ERMS katika utendaji kazi wa kila siku

Kamati za Utekelezaji wa Serikali Mtandao Tanzania zimeanzishwa ili kuisadia Mamlaka katika utekelezaji wa Sheria ya Serikali Mtandao pamoja na kuwa na matumizi ya TEHAMA yenye tija.Bofya hapa kujua zaidi

Sheria ya Serikali Mtandao Na. 10 ya Mwaka 2019 imeainisha kazi na majukumu ya Mamlaka ya Serikali Mtandao kama vile kuendeleza utekelezaji wa Serikali Mtandao, kukuza na kutoa huduma bora za Serikali Mtandao kwa taasisi za umma na kuhimiza utekelezaji wa Sera ya Taifa ya TEHAMA.Bofya hapa kujua zaidi

"Lengo kubwa hasa la kuwa na Sheria ya Serikali Mtandao ni kuhakikisha kwamba Serikali inapata thamani halisi ya uwekezaji kwenye TEHAMA", Dkt. Jabiri Bakari.Bofya hapa kujua zaidi

Mkurugenzi wa Usimamizi wa Huduma za TEHAMA kutoka Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) Eng. Benedict Ndomba amesema kuwa eGA imepewa mamlaka na wajibu wa kuratibu kusimamia na kukuza jitihada za Serikali Mtandao pamoja na kuhimiza utekelezaji wa Sera, Sheria, Kanuni, Viwango na miongozo kuhusu Serikali Mtandao katika taasisi za umma.Kwa mantiki hiyo, Mamlaka ina wajibu wa kuhakikisha matumizi ya TEHAMA Serikalini yanakuwa bora ili kuboresha utoaji...