emblem
Mamlaka ya Serikali Mtandao
TAASISI YENYE VIWANGO VYA ISO 9001: 2015
ega Logo
Mifumo na Huduma
ega-svg-tree
Ukaguzi wa Usalama wa Mifumo

Mamlaka ya Serikali Mtandao inatathmini kiwango cha usalama na kupendekeza maeneo ya kuboresha au kuchukuliwa hatua za kiusalama, kulinda au kukinga dhidi ya matishio ya ndani au ya nje kwenye mifumo ya taarifa.

Tathmini ya usalama inafanywa kwa mujibu wa “Standards for Information Systems Audit and Assurance” kutoka ISACA pamoja na “Guidelines for enhancing Internal Control Frameworks in the Public Sector” na Viwongo na Miongozo ya Serikali Mtandao.

Ukaguzi wa Usalama wa Mifumo
Mpangilio