Mamlaka ya Serikali Mtandao ni msajili pekee wa majina ya vikoa vya .go.tz na .mil.tz. Hivyo, eGA inamamlaka ya kisheria ya kusajili majina ya vikoa vyote ya mitandao kwa Taasisi za Serikali. Hii ni katika kutekeleza Sera ya Taifa ya TEHAMA (2003).