emblem
Mamlaka ya Serikali Mtandao
TAASISI YENYE VIWANGO VYA ISO 9001: 2015
ega Logo
Mifumo na Huduma
ega-svg-tree
Uhakiki wa Mifumo ya TEHAMA
eGa inatoa ushauri unaolenga mapitio ya viwango katika mifumo ya TEHAMA na kusaidia michakato ya shughuli za biashara kwa lengo la kuboresha ufanisi na matumizi.
Mbinu ya mapitio ya mifumo inafanyika kwa kufuata “Viwango vya Ukaguzi wa Mifumo ya TEHAMA na Uthibitishaji” kutoka ISACA pamoja na “Miongozo ya Kuimarisha Miundo ya Udhibiti wa Ndani katika sekta ya Umma na Viwango na Miongozo ya Serikali Mtandao”.
Taasisi za Umma zinazoomba aina hii ya ushauri zinatozwa kutegemea jitihada zilizofanywa na ukubwa wa mapitio.
Uhakiki wa Mifumo ya TEHAMA
Mpangilio