emblem

Mamlaka ya Serikali Mtandao

Uadilifu na Ubunifu kwa Utoaji Huduma Bora kwa Umma
TAASISI YENYE VIWANGO VYA ISO 9001: 2015

Bunge Mtandao wasaidia Bunge kipindi cha Covid-19


Bunge Mtandao wasaidia Bunge kipindi cha Covid-19


Mfumo wa Bunge mtandao umesaidia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu (Covid-19) kwa kuepuka kusambaa kwa virusi vya CORONA kwa wabunge na watumishi wa Bunge.

Tazama zaidi