emblem

Mamlaka ya Serikali Mtandao

Uadilifu na Ubunifu kwa Utoaji Huduma Bora kwa Umma

​Majukumu e-GA katika utekelezaji wa Sheria ya Serikali Mtandao 2019


​Majukumu e-GA katika utekelezaji wa Sheria ya Serikali Mtandao 2019


Sheria ya Serikali Mtandao Na. 10 ya Mwaka 2019 imeainisha kazi na majukumu ya Mamlaka ya Serikali Mtandao kama vile kuendeleza utekelezaji wa Serikali Mtandao, kukuza na kutoa huduma bora za Serikali Mtandao kwa taasisi za umma na kuhimiza utekelezaji wa Sera ya Taifa ya TEHAMA.

Bofya hapa kujua zaidi