e-Wallet sasa Serikalini *152*00# -DUWASA Jun 11, 2020 Na Editor Unaweza kulipa bili za maji au kuomba huduma nyingine za Serikali kupitia Simu za Mkononi. Agalia video hii uone jinsi DUWASA wanavyotumia Mfumo wa Huduma za Serikali kupitia Simu za Mkononi.