emblem

Mamlaka ya Serikali Mtandao

Uadilifu na Ubunifu kwa Utoaji Huduma Bora kwa Umma

ERMS yarahisisha Utendaji Kazi


ERMS yarahisisha Utendaji Kazi


ERMS unatumika kusimamia shughuli za ndani ya taasisi kuboresha utendaji kazi, kusimamia matumizi mazuri ya rasilimali na kuweza kubadilishana taarifa miongoni mwa Idara/Vitengo ili kuoengeza ufanisi, kupunguza gharama za uendeshaji na kutoa huduma bora kwa kutumia moduli 20 zinazowasiliana na kuunganisha shughuli za Idara na Vitengo ndani na kati ya taasisi.

Bofya hapa kujua zaidi