emblem

Mamlaka ya Serikali Mtandao

Uadilifu na Ubunifu kwa Utoaji Huduma Bora kwa Umma
TAASISI YENYE VIWANGO VYA ISO 9001: 2015

MAKABIDHIANO YA RIPOTI YA CAG KWA BODI YA WAKURUGENZI YA e-GA


MAKABIDHIANO YA RIPOTI YA CAG KWA BODI YA WAKURUGENZI YA e-GA


Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) Dkt. Mussa Kissaka akipokea taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) ya ukaguzi wa taarifa za fedha kwa mwaka wa fedha 2021/2022 ya Mamlaka ya Serikali Mtandao kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu Eng. Benedict Ndomba ambapo Mamlaka imepata hati safi. Makabidhiano hayo yamefanyika leo katika Ofisi za e-GA jijini Dar es Salaam, wakati wa kikao cha Bodi.