emblem

Mamlaka ya Serikali Mtandao

Uadilifu na Ubunifu kwa Utoaji Huduma Bora kwa Umma
TAASISI YENYE VIWANGO VYA ISO 9001: 2015

SHUKRAN KWA UDHAMINI


SHUKRAN KWA UDHAMINI


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, akimkabidhi cheti cha shukran ya udhamini Mkurugenzi wa Huduma za TEHAMA wa Mamlaka ya Serikali Mtandao ( e-GA) Bw. Ricco Boma, kwenye Mkutano Mkuu wa 7 wa Mashirika ya Utangazaji ya Umma Kusini mwa Afrika (SABA). Mkutano huo unafanyika kwa siku tatu kuanzia leo Oktoba 10 hadi 12 katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kisiwani Unguja ambapo e-GA ni miongoni mwa wadhamini wa mkutano huo.