emblem

Mamlaka ya Serikali Mtandao

Uadilifu na Ubunifu kwa Utoaji Huduma Bora kwa Umma

WAZIRI SIMBACHAWENE AFUNGUA KIKAO KAZI CHA 4 CHA SERIKALI MTANDAO


WAZIRI SIMBACHAWENE AFUNGUA KIKAO KAZI CHA 4 CHA SERIKALI MTANDAO


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George B.Simbachawene (Mb), leo Februari 6, 2024 amefungua Kikao kazi cha 4 cha Serikali Mtandao.

Kikao kazi hicho kinafanyika kwa siku tatu (3) katika ukumbi wa AICC jijini Arusha. Takriban wadau 1000 wa Serikali Mtandao wamehudhuria kikao kazo hicho.