e-GA YAWAFUNDA WACHAMBUZI WA MIFUMO YA TEHAMA KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TEKNOLOJIA

Wachambuzi wa mifumo ya TEHAMA ‘Business Analysts’ katika taasisi za umma, wametakiwa kuongeza elimu na kupata maarifa mapya mara kwa mara, ili kuweza kuendana na kasi ya ukuaji wa mabadiliko ya teknolojia mpya zinazoibuka, ikiwemo ujuzi katika uchambuzi wa takwimu pamoja na akili bandia.Wito huo umetolewa na Kaimu Meneja wa Ushauri na Uelekezi wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) Bi.Joan Valentine, wakati akifungua mafunzo ya siku sita kwa Wach...