DKT. MPANGO AZITAKA TAASISI ZA UMMA KUJIUNGA NA GOVESB

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpango, amezielekeza taasisi za umma kuwasiliana na kubadilishana taarifa kidijitali, ili kurahisisha utendaji kazi katika taasisi zao na utoaji wa huduma za Serikali kwa wananchi kwa urahisi na gharama nafuu zaidi.Dkt. Mpango amesema hayo leo, wakati akifungua Kikao Kazi cha 5 cha Serikali Mtandao, kilichofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) jijini Arusha, na...