VIJANA LETENI BUNIFU ZA TEHAMA ZINAZOISAIDIA SERIKALI: e-GA

Meneja wa Kituo cha Utafiti, Ubunifu na Uendelezaji wa Serikali Mtandao (eGOVRIDC) cha Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) Dkt. Jaha Mvulla, amewata vijana watafiti na wabunifu kwenye eneo la TEHAMA kuwasilisha bunifu zao katika kituo hicho, ili kuangalia namna zinavyoweza kuisaidia Serikali katika kuwahudumia wananchi.Dkt. Jaha amesema hayo hivi karibuni, wakati akieleza umuhimu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA), kushiriki katika Maadhimisho...