Huisheni Taarifa Kwenye Tovuti Zenu

Wakuu wa Vitengo vya Mawasiliano Serikalini, wametakiwa kuhuisha taarifa katika tovuti za taasisi kwa wakati, ili kuhakikisha wananchi na wadau mbalimbali wanapata taarifa sahihi za miradi ya maendeleo na huduma zitolewazo na taasisi kupitia tovuti hizo. Rai hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Huduma za TEHAMA wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) Bw. Ricco Boma, wakati akifungua mafunzo ya siku tatu ya Usimamizi na Uendeshaji wa Tovuti za Serikal...