Wadau Watakiwa Kufuata Miongozo ya Serikali Mtandao Kufikia malengo ya Dira ya Taifa ya 2050

Wadau wa TEHAMA nchini wametakiwa kufuata miongozo ya Serikali Mtandao inayowekwa, ili kuhakikisha matumizi salama na sahihi ya teknolojia pamoja na utekelezaji wa malengo ya Dira ya Maendeleo ya Taifa ya 2050. Wito huo umetolewa na Meneja wa Huduma za Sheria wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Jeshi la Polisi (SACP) Rafael Rutahiwa, wakati akifungua Kikao Kazi cha Mapitio ya Viwango na Miongozo ya Serik...



