Sehemu hii inahusu uhusiano baina ya Serikali na Sekta za Biashara. Lengo la G2B ni kuziwezesha sekta za biashara kupata taarifa na huduma kwa njia ya mtandao kupitia mifumo mbalimbali.
Ifuatayo ni mifumo ya mawasiliano mtandaoni kati ya Serikali na Sekta za Biashara: