TAASISI YENYE VIWANGO VYA ISO/IEC 27001:2022 | ISO 9001: 2015
Serikali na Wananchi (G2C)
Sehemu hii inahusu uhusiano baina ya Serikali na Wananchi. Lengo la G2C ni kuwawezesha wananchi kupata taarifa na huduma kwa njia ya mtandao kupitia mifumo mbalimbali.
Ifuatayo ni mifumo ya mawasiliano mtandaoni kati ya Serikali na Wananchi: