emblem
Mamlaka ya Serikali Mtandao
TAASISI YENYE VIWANGO VYA ISO 9001: 2015
ega Logo
Serikali na Watumishi (G2E)
ega-svg-tree

Sehemu hii inahusu uhusiano baina ya Serikali na Watumishi. Lengo la G2E ni kuwawezesha watumishi kupata taarifa na huduma kwa njia ya mtandao kupitia mifumo mbalimbali.

Ifuatayo ni mifumo ya mawasiliano mtandaoni kati ya Serikali na Watumishi:

  1. ERMS
  2. e-Vibali
  3. TSMS
  4. Government Lawyers Database
  5. Workers compensation self service
  6. Salary slip Portal
Mpangilio