Sehemu hii inahusu uhusiano baina ya Serikali na Taasisi za Umma. Lengo la G2G ni kuwawezesha taasisi za umma kupata taarifa na huduma kwa njia ya mtandao kupitia mifumo mbalimbali.
Ifuatayo ni mifumo ya mawasiliano mtandaoni kati ya Serikali na Taasisi za Umma: