Manufaa

  • Inarahisha utoaji wa vibali vya kusafiri nje ya nchi kwa watumishi wa umma
  • Watumishi wa umma wanaweza kuomba kibali kwa njia mtandao
  • Mtumishi anaweza kufuatilia maendeleo ya kibali alichoomba
  • Ni njia rahisi na ya haraka na inaokoa muda
Manufaa