Aina za Akaunti ya GMS

GMS offers four types of accounts which are Personal or staff email accounts, Institutional or departmental email accounts, Group e-mail accounts, Special or specific purpose email accounts.

Aina za Akaunti ya GMS

Personal or staff email accounts,

hey are meant for Government officers to communicate official matters than private ones. They generally follow the syntax “firstname.surname” followed by the respective institutional domain e.g. rosa.juma@ega.go.tz.

Personal or staff email accounts,

Institutional or departmental email accounts

They usually named according to the official abbreviated title of the head of the institution, department, or unit followed by the respective domain e.g. dg@ega.go.tz, ps@pmo.go.tz, dims@ega.go.tz, etc. Unlike a personal email account which is used solely by the respective staff and which ceases once the person leaves the institution, an institutional email account is used by virtue of one’s title and never ceases as long as the institution exists.

Institutional or departmental email accounts

Group e-mail accounts,

They are special accounts comprising of other email accounts within such that an email sent to the group is in turn delivered to all members of the group. Generally, the recommended best practice is “group.entity” followed by the institutional domain where “entity” can be something physical or abstract but must be meaningful. For example, the group mail group.dims@ega.go.tz can comprise all email accounts of the members of the DIMS department. Similarly, group.staff@ega.go.tz comprises of all eGA Staff, etc.

The prefix “group.” is purposely for alerting a sender that the email will be sent to a group of people hence has to be careful and, if necessary, to review the group membership before sending. Strict measures have to be taken to ensure only allowed persons can post to a group mail as failure to do so may lead to problems. Equivalently, group mail compositions have to be reviewed regularly to remove unrequired group members like those who have left the institution otherwise it may lead to information breach. The rule of thumb is, “create a group mail only when necessary, do not grant a group mail more permissions than required or necessary, and review and update a group mail composition or membership regularly”.

Group e-mail accounts,

Special or specific purpose email accounts

Some email accounts are intended for delivering specific or special messages pertaining to a specific subject, area, or domain such as informational messages, warnings, alerts, etc. For example, ICT security team in an institution may have a special email account(s) for sending messages to specific group of users on ICT security alerts. Similarly, various support teams like ICT may have special email accounts to support or help end-users on various matters pertaining to ICT services offered by their institutions. It is not uncommon to come across or communicate through email accounts like ictsupport@ega.go.tz, egov.helpdesk@ega.go.tz, etc.

Not only for use by human beings, but also information systems can automatically send emails to users through special email accounts created for such purposes without any human intervention. Booking or ticketing information systems, billing information systems, etc. are good examples of such systems that send information, alerts, or warning messages to subscribed users through the famous “noreply” email accounts or some other special accounts. For example, noreply@ega.go.tz may send alerts to users whose mailbox quotas are about to exceed the set limit. These are for informational purposes only and, usually, need not to be replied.

Special or specific purpose email accounts

Makundi ya GMS

Kuna makundi mawili ya Mfumo wa Baruapepe Serikalini ambayo ni Mfumo Huria wa Baruapepe Serikalini (GMSC) na Mfumo wa Ndani wa Baruapepe Serikalini (GMSL)

Makundi ya GMS

Mfumo Huria wa Baruapepe Serikalini

e-GA provides hosting, security, storage, computing, backup, disaster recovery, and the general day-to-day operation and maintenance of the system hence relieving institutions from all such hassles and, instead, to enable them to focus on their core businesses. Connected institutions contribute some fees to carter for the resources necessary for operation and maintenance of the system

Mfumo Huria wa Baruapepe Serikalini

Mfumo wa Ndani wa Baruapepe Serikalini

The system is installed locally at an institution’s premises. In turn the institution is responsible for undertaking all the duties and costs that would have been undertaken or bear by the Authority had it opted for the cloud-based option. However, e-GA provides support for updates and upgrades at the application level once they are available. Institutions have to decide carefully on which option suits their needs best while considering cost, availability, performance, and security among other key factors.

Mfumo wa Ndani wa Baruapepe Serikalini

Faida za GMS

 1. Chaneli ya mawasiliano serikalini iliyosalama na ya kuminika
 2. Mfumo rasmi wa kubadilishana taarifa
 3. Inapunguza gharama na muda
Faida za GMS

Nifanyaje

Masharti

 1. Registered domain name which follow government standards i.e .go.tz
 2. The domain for email account should be hosted at e-GA.
 3. Have a specific number of users expected to use the service.

Taratibu

 1. Barua ya maombi
 2. Ainisha idadi ya watumiaji wanaotarajiwa kutumia mfumo huo katika barua yako
 3. Teua wasimamizi wawili wa mifumo watakaohudhuria mafunzo ya Usimamizi wa Mfumo na Uanzishwaji wa akaunti ya GMS katika taasisi yako.
 4. Iwapo anuani ya akaunti yako inahifadhiwa na kuhudumiwa mahali pengine, ni lazima uwasilishe ufunguo wa uhawilishaji.
 5. Lipa ada ya mwaka inayostahili kulingana na idadi ya watumiaji kupitia Akaunti ya Wakala (e-Government Agency A/C) Na. 20110002340, NMB Bank.

Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

?Napata tatizo “Tatizo la kuwasiliana na seva” au hakuna mawasiliano na seva kwa muda mrefu wakati wa kutuma,kusoma au kufungua baruapepe

Sababu

 1. Tatizo la kuunganishwa na intaneti
 2. Seva haipaikani kwa muda na matatizo ya mtandao yataweza kukatisha utaratibu mzima

Ufumbuzi:

 1. Hakikisha mtandao uko imara
 2. Kama tatizo linaendelea, kwa msaada zaidi wasiliana na msimamizi wa GMS wa taasisi yako

Kuambatisha jalada (Kiambatisho) kwenye GMS inachukua muda mrefu/ jalada haliwezi kuambatishwa.

Sababu

 1. Mtandao unashindwa kuunganishwa kwa haraka
 2. Ukubwa wa jalada umzidi kiwango kinachoruhusiwa cha 20MB

Ufumbuzi

Njia ya 1

Kama tatizo linasababishwa na kasi ya uunganishaji;

 1. Thibitisha kama tatizo ni kasi ya mtandao kwa kufungua mitandao mingine kama vile Google, yahoo n.k. Iwapo mitandao hiyo inafunguka kwa urahisi, basi kuna tatizo kwenye mtandao wako, kwa msaada zaidi wasiliana na msimamizi wa GMS wa taasisi yako
 2. Kama mitandao mingine nayo haifunguki, tafuta mtandao wa intanet mbadala wa haraka. Kwa mfano tumia modem
 3. Ambatisha tena jalada na tatizo litakwisha

Njia ya 2

Kama Ukubwa wa jalada umezidi kiwango kinachoruhusiwa;

 1. Kama unatuma majalada mengi, yatume katika vikundi vidogovidogo, tatizo litakwisha
 2. Kama unatuma jalada moja tu linalozidi kiwango kinachoruhusiwa (20 MB), punguza jalada kulingana na ukubwa ulioruhusiwa. Tumia mifumo tumizi ya kupunguzia kama vile WinRAR au ZIP. Kama hauna mifumo hiyo, kwa msaada zaidi wasiliana na msimamizi wa GMS wa taasisi yako
 3. Ukikamilisha njia ya pili hapo juu, ambatisha tena jalada na tatizo litakwisha
 4. Kama tatizo linaendelea, kwa msaada zaidi, wasiliana na msimamizi wa GMS wa taasisi yako

Ninapata tazito ninapotuma baruapepe “Kuna tatizo unapotuma baruapepe yako”

Sababu

 1. Ama unatuma baruapepe kwa kikundi kisichoidhinishwa
 2. Kunatokea alama kama vile -,*,> n.k kwenye uga wa anwani yako (To: Cc: or Bcc :)
 3. Seva ya baruapepe imekataa kuhalalisha mpokeaji mmoja au zaidi

Ufumbuzi

 1. Logua kwa kubofya kitufe cha “logua” na logia tena. Hatua hii itatanzua tatizo lako
 2. .Kama tatizo linaendelea, kwa msaada zaidi wasiliana na msimamizi wa mfumo wa GMS katika taasisi yako.

My emails are plainly arranged without any graphical features once I login into GMS

Sababu

 1. Inawezekana unakabiliwa na tatizo la mtandao kutounganishwa kwa haraka.
 2. Kivinjari chako kinaweza kuwa kinarejea kwenye ukurasa wa wazi uliopita ambao tayari umehifadhiwa kwenye historia ya kivinjari na bado kina taarifa ileile ambayo imekwisha angaliwa kwa mara ya mwisho au imefunguliwa wakati mtandao una tatizo la kutounganishwa kwa haraka

Ufumbuzi

Njia ya 1

 1. Logua (Logout) kwa kubofya kwenye kitufe cha logua
 2. Logia (login) kwa kutumia kivinjari tofauti kwa mfano. Google Chrome, Mozilla Firefox etc.
 3. Tafuta intaneti mbadala ya haraka kwa mfano unaweza kutumia modem na kulogia tena. Ukimaliza kuingiza jina na nywila ya mtumiaji, kivinjari kitabaini uunganishaji wa intaneti haraka na uga wa modi utaonesha otomatiki na bila shaka na ukurasa husika utafunguka na kuonesha michoro yote iliyowasilishwa.

Njia ya 2

 1. Kama huna suluhisho mbadala, logia tena kwa kuingiza jina na nywila na bofya logia. Lakini kama ukurasa husika unafunguka na baruapepe zilezile zilizopangwa bila michoro, logua tena na ingiza jina la mtumiaji na nywila na kwenye uga wa modi chagua otomatiki halafu bofya kitufe cha logia.
 2. Ukurasa wako utafunguka ukiwa na baruapepe zilizopangwa vizuri na michoro yote; kama bado, logua tena kwa kubofya kitufe cha logua

Njia ya 3

 1. Logia tena kwa kuingiza jina la mtumiaji na nywila, na kwenye uga wa modi chagua otomatiki na utapata ukurasa wenye baruapepe zilizopangwa vizuri na michoro yote, kama haitatokea hivyo, kivinjari chako kitakuwa kimechukua taarifa za logia kutoka kwenye data zake
 2. Kutanzua tatizo hili, wasiliana na msimamizi wako wa mfumo wa GMS wa taasisi yako ili akusaidie kushughulikia historia ya kivinjari (majalada yaliyoingia) halafu jaribu logia tena.

Zingatia: Iwapo baada ya jitihada zote hizo zilizotajwa hapo juu na bado GMS inafunguka na baruapepe zisizo na michoro, USIWE NA WASIWASI. Hili ni tatizo dogo ambalo hujitokeza wakati dirisha linapofunguka/ na kuonekana hivyo wakati mtumiaji anapojaribu kulogia kwenye GMS wakati akiwa na intaneti wakati wa uunganishaji wake unapokuwa chini. Itafunguka kama kawaida na michoro yote wakati intaneti itakapotulia/kuwa na kasi

Check Our video

Angalia Video fupi ya Wakala ya Serikali Mtandao inayohusu Mfumo wa Baruapepe Serikalinin na ujionee jinsi mfumo huu unavyoahisisha utendaji kazi Serikalini

Mfumo wa Baruapepe Serikalini (GMS)

Testimonial