Huduma kwa Mteja

Huduma kwa Mteja

Ni mfumo maalumu wa huduma kwa wateja unaowawezesha maafisa wa taasisi za umma kuwasilisha maombi au matatizo ya kiufundi kwa wataalamu wa TEHAMA wa Mamlaka ya Serikali Mtandao. Mfumo huu unapatikana masaa 24 siku 7 kwa wiki na unaruhusu na kumuwezesha muwasilishaji kufuatilia tatizo lake kwa kutumia namba ya ufuatiliaji aliyopatiwa.Pia, mteja anaweza kutuma maombi au matatizo hayo kwa kutumia simu namba 07...

Tazama Video

Wasiliana Nasi

  • Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,
  • Mamlaka Ya Serikali Mtandao
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao 8 Barabara ya Kivukoni, Jengo la Utumishi
  • S.L.P 4273, Dar es Salaam
  • +255222129868
  • info@ega.go.tz