Moduli

Mfumo wa Arafa Serikalini

Mfumo wa Arafa Serikalini

Mfumo huu unatoa fursa kwa taasisi za Umma kufikisha huduma zake kwa njia ya arafa kwa wananchi wote.

Orodha ya Namba ya Arafa (USSD)

Orodha ya Namba ya Arafa (USSD)

Teknolojia ya namba za arafa inatumiwa na aina zote za simu ikiwemo simu za kawaida na simu smati, mtumiaji hahitaji kuunganishwa na intaneti, inampa mtumiaji uwezo mkubwa wa kupata huduma mbalimbali na kuifanya huma hii kuwa rahisi kutumiwa.

e-Wallet

e-Wallet

e-Wallet ni mfumo wa USSD unaomuwezesha mwananchi kulipia huduma mbalimbali za kiserikali kupitia wallet akaunti ya mtandao wake (Mf. Vodacom -MPESA, Tigo -TigoPesa, Airtel- AirtelMoney n.k).

Tazama zote

Faida za Mfumo wa Huduma za Serikali Kupitia Simu za Mkononi

  1. Inahudumia watu wengi kwa muda mfupi
  2. Kuokoa muda na gharama
  3. Huduma salama na za kuaminika
  4. Inawafikia watu wengi kwa urahisi hususani wanaoishi maeneo yasiyo fikika kwa urahisi.
Faida za Mfumo wa Huduma za Serikali Kupitia Simu za Mkononi

Nifanyaje

Masharti

Have a requirement specification document.

Taratibu

1. Andika barua ya maombi kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao

2. Wasilisha maelezo ya tatizo

3. Hudhuria mkutano wa kukusanya mahitaji kwenye ofisi za e-GA

4. Toa maoni na kukubali huduma hiyo iliyojaribiwa na kuoneshwa kwako

5. Lipa ada inayostahili kama ilivyoainishwa kupitia Akaunti ya Mapato ya Mamlaka (e-Government Authority Revenue A/C) Na. 20110002340, NMB Bank.

6. Utakabidhiwa rasmi Mfumo wa Huduma kwa Simu za Mkononi

Zingatia:

Utengenezaji wa mfumo wa huduma kwa simu za mkononi unategemea ukubwa wa tatizo lililowasilishwa.

Check Our video

mGov