Moduli

Moduli za TSMS

Moduli za TSMS

TSMS ina moduli sita ambazo ni Mafunzo na Semina, Taasisi, Huduma, Mahali, Usimamizi wa Mtumiaji na Ripoti

Mafunzo na Semina

Mafunzo na Semina

Moduli hii inakuwezesha kujisajili kwa ratiba za mafunzo yote

Taasisi

Taasisi

Moduli hii inatoa fursa ya kutunza taarifa kuhusu taasisi na kuongeza au kupunguza taarifa hizo

Huduma

Huduma

Moduli hii inatoa taarifa kuhusu bidhaa za serikali mtanda zinazohusiana na raiba iliyopo

Mahali

Mahali

Moduli hii inatoa fursa ya kujua mahali kulingana na ratiba ili kumwezesha mtumiaji kupata taarifa

Usimamizi wa Mtumiaji

Usimamizi wa Mtumiaji

Moduli hii inaonesha watumiaji wote waliosajiliwa na hali yao kama ni amilifu (active) au si amilifu (inactive).

Tazama zote

Faida za Mfumo wa TSMS

 1. Inaokoa fedha na muda kwa sababu mtumiaji anatakiwa kutumia intaneti
 2. Ratiba imeingizwa kwenye akaunti za wakurufunzi kulingana na makundi yao
 3. Mtumiajai atapata nyenzo za kujifunzia kwa urahisi
 4. Upatikanaji wa taarifa za mafunzo kwa urahisi
 5. Mamlaka inaweza ikaona taarifa za wakufunzi/wawezeshaji mahali na taarifa nyingine muhimu kwa ajili ya kutoa uamuzi wa mafunzo ya baadae.
 6. Inatengeneza namba ya malipo kwa mwombaji iwapo mafunzo yalipangwa yanahitaji kulipiwa
Faida za Mfumo wa TSMS

Nawezaje Kutumia Mfumo wa TSMS?

 1. Chapa https://tsms.ega.go.tz
 2. Logia au sajili kama hauna akaunti
 3. Chagua ratiba ya mafunzo
 4. Lipia kwa kuomba vipindi vilivyopangwa
 5. Hudhuria mafunzo kama yalivyopangwa
Nawezaje Kutumia Mfumo wa TSMS?

Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Nifanyeje iwapo wakati wa mchakato wa usajili kwenye mfumo wa TSMS, napata viashirio kuwa baruapepe yangu tayari imekwishachukuliwa

Nenda kwenye baruapepe yako kuangalia baruapepe ya kufungua ili uweze kutumia akaunti yako. Kama hakuna baruapepe, toa taarifa kupitia dawati la msaada au mratibu wa mafunzo wa e-GA kuweza kutanzua tatizo hilo

Nawezaje kufungua akaunti yangu ya TSMS baada ya kusajiliwa kwenye mfumo wa TSMS?

Baada ya kusajili akaunti yak tu, utapokea baruapepe yenye linki ya kufungua. Bofya kufungua akaunti yako ya TSMS

Mfumo wa Usimamizi wa Mafunzo na Semina (TSMS)

Testimonial