emblem

Mamlaka ya Serikali Mtandao

Uadilifu na Ubunifu kwa Utoaji Huduma Bora kwa Umma
TAASISI YENYE VIWANGO VYA ISO 9001: 2015

Huduma

Bango la Matangazo Kielektroni

Bango la matangazo linahusisha usanifu wa picha na taasisi itakayotangazwa kwenye Tovuti Kuu ya Serikali na mifumo mingine ya tovuti yenye idadi kubwa ya wanaotembelea au kuangalia kurasa zake.

Mabango yanaweza kuonesha maelezo kuhusu bidhaa, huduma, wazabu/ zabuni, minada, nafasi za kazi, taarifa kwa vyombo vya habari, hotuba, matukio na mikutan