emblem

Mamlaka ya Serikali Mtandao

Uadilifu na Ubunifu kwa Utoaji Huduma Bora kwa Umma
TAASISI YENYE VIWANGO VYA ISO 9001: 2015

Huduma

Uendelezaji wa Usanifishaji wa Shughuli

Mpango wa sehemu za TEHAMA za Taasisi za Umma unaosaidia shughuli za jumla unafungamanisha Mifumo tumizi na Mifumo, Miundombinu na Hazinadata, kushughulikia kazi, matakwa na mahitaji ya shughuli kuu za taasisi za Umma.