emblem

Mamlaka ya Serikali Mtandao

Uadilifu na Ubunifu kwa Utoaji Huduma Bora kwa Umma

Huduma

Kukabili Majanga

Hufanywa kuhakikisha kuwa kuna ukingaji wa mifumo ya habari yenye ufanisi inayosaidia michakato mikuu ya biashara za taasisi na uendeshaji kwa kuweka miongozo taratibu na taarifa muhimu za mawasiliano kupata tena mitandao muhimu, mifumo na mifumo tumizi.